YANGA SC YATAMBULISHA KOCHA MPYA KUTOKA TUNISIA

Uongozi wa Klabu ya Young Africans umemtambulisha rasmi Kocha Mkuu, Mohamed Nasreddine Nabi pamoja na Kocha Msaidizi, Sghir Hammadi kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu